Wanawake Mlio Ndoani, Msibweteke, Single Ladies Tunawapa Salamu

Wanawake bwana😃😃😃ukute ulikimbia NDOA kwasababu ya mumeo kuwa na michepuko ajabu umetoka na wewe unakuwa mchepuko😄😄😄ama hakika nyoka alizipima akili zenu na akaona hazitoshi ndo maana akaunda urafiki nanyi
😀😀😀 wanawake na logic ni vitu viwili ambavyo haviendi sambamba. Mwingine anavunja ndoa yake kwa sababu hayupo tayari kuchangia bill, halafu akiwa single analazimika kuwa mchapakazi ili ajilipie bill zake. Unabaki kushangaa iyo nguvu kwanini asingeitumia kumsaidia mumewe akiwa ndoani.
 
Njoo inbox single lady..
 
Ungekuwa na akili ya maisha si ungeitumia kwa mumeo akaacha kukudunda na kunyanyasa, mnaodundwaga mnakuwaga na jeuri na sio wasikivu au ndio akili za maisha zenyewe hizo?

Mnatumika tu kuwapunguzia ugwadu wanaume, huoni hata mawasiliano mnapewa limit, usimtafute mpaka akutafute mwenyewe au ndio akili ya maisha hiyo, wasomi mnatumika sana since mko vyuoni na mmebaki kuwa kwenye used class
 
Katyombwe huko.
 
Huna uwezo huo, ushashindwa kwa mkurya aliyekuwa anakudunda mpaka ukakimbia utaweza wapi
Baba yako mzee Saimom nishalala nae sana na naujua vyema udhaifu wake.
Tatizo likaja baada ya wewe kuingilia penzi la baba yako mzazi.
Daudi ina maana ulikuwa unanionea wivu eti?
 
Baba yako mzee Saimom nishalala nae sana na naujua vyema udhaifu wake.
Tatizo likaja baada ya wewe kuingilia penzi la baba yako mzazi.
Daudi ina maana ulikuwa unanionea wivu eti?
Akili za maisha ulizonazo ndio hizi sasa, nilitaka kushangaa uliposema una akili za maisha et za kumfanya mume wa mtu atulie kwako wakati una kibuyu tu
 
Akili za maisha ulizonazo ndio hizi sasa, nilitaka kushangaa uliposema una akili za maisha et za kumfanya mume wa mtu atulie kwako wakati una kibuyu tu
Kibuyu hikihiki ndiko alichonipendea baba yako mzee Saimon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…