Mefurahi sana nlijua mawazo yake ni ngono tuuuu kumbe ana akili zingine 🤣 🤣 🤣Hadi umefurahi mwenyewe eti eeh
Ni wazo ambalo ni wazo zuri sana, mwanaume akiona ushajiongeza unahitaji kutafuta, kama akili yake ina akili lazima akusuport akutoe kuuza ujiHii akili haijawahi toka huko kwenye zero zone , anawapotosha na nyie unmnakubali wazima wazima
Atakutoa ili tu msipate aibu lakini tayari mtakua mmeonyesha namna mnavyoishi ni kitu cha ovyo sana, kukaa nyumbani kusubiri mumeo akuletee ni udhaifu sana,nenda katafute ajira baadala ya kusubiri mumeo akuletee,kuna leo na keahokutwa mumeo akafariki utaishije wewe na watotoNi wazo ambalo ni wazo zuri sana, mwanaume akiona ushajiongeza unahitaji kutafuta, kama akili yake ina akili lazima akusuport akutoe kuuza uji
Ajira unaitafuta vipi kama ni darasa la saba, mtaji kakunyima, au ujamwelewa mkuu Zero IQAtakutoa ili tu msipate aibu lakini tayari mtakua mmeonyesha namna mnavyoishi ni kitu cha ovyo sana, kukaa nyumbani kusubiri mumeo akuletee ni udhaifu sana,nenda katafute ajira baadala ya kusubiri mumeo akuletee,kuna leo na keahokutwa mumeo akafariki utaishije wewe na watoto
kama mumeo ni mwanajeshi jeTena kama mimi navaa vizuri, najipodoa kulingana na nilivyo, adi chakula napika napeleka naanza kuomba oda, juice, matunda nauza, jioni napika uji,