Wanawake mmekuwaje skuhizi??????????????

we wamege tu kwan tatizo nn, ila kumbuka kinga
 
Dunia kweli imeharibika. Sisi tulioolewa inabidi tuwaombee sana waume zetu. Kila mahali ni mitego. Tena wakikuona unaendesha gari zuri ndio kila mtu anataka awe anakutania tania ili uingie line. Mi ndo nishasema mtu akileta utani wa kupitiliza kwa Mr. NAMTOA NISHAI LIVE whether wanafanya kazi pamoja au walisoma wote. Lazima niprotect mali zangu.

Mimi mbona nafanya kazi na simtanii mume wa mtu na wala sitaniwi??? Heshima kitu cha bure cheating zinaanziaga humo humo kwenye matani. Nina hasira na hawa vibaka.


 
Ndo hivyo tena issue ya kuvua pant imerahisishwa sana sijui tunaenda wapi? Tulikaa baa fulani akaja mdingi kama early 50 hivi akakaa kwenye meza vikaja vitoto possibly vya chuo viwili ver cute, in minutes mwingine anarekebisha tai, mwingine anamkuna kidevu yaani kama babu yao hivi yule mdingi, with my friend wote ladies tuliona aibu balaa, mdingi was ver unconfortable coz tulikuwa tunashamngaa kwa nguvu zote lakini vile vitoto wala burudani! aliondoka navyo sijui walienda wote....
 
Utakuta mzee alienda kupata threesome kama sio four. Wapuuzi kabisa. Lakini naamini wazazi wanachangia. Watu tunajua kuzaa tu tumemaliza. Watoto wanatakiwa malezi ili hata wanapopewa uhuru kama wakiwa vyuoni wasishindwe kuutumia.

 
Hayo mambo yapo kaka, niliwahi kugongewa mlango saa tano usiku na muhudumu akaniambia nimeleta oda yako kutoka receiption tulibishana kidogo baadae nikafungua mlango, Waaaoo lilikuwa kosa! ni rahisi kukimbia majaribu lakini si kuyashinda kaka...
 
 
Huyo ilikuwa si ngono tu, alitaka kuja kukuibia vitu vyako
 
Hayo mambo yapo kaka, niliwahi kugongewa mlango saa tano usiku na muhudumu akaniambia nimeleta oda yako kutoka receiption tulibishana kidogo baadae nikafungua mlango, Waaaoo lilikuwa kosa! ni rahisi kukimbia majaribu lakini si kuyashinda kaka...

Hizo roses ndio zilikuponza mkuu alidhani ni zake
 

Mkuu mario acha tena vident vya chuo ndio balaa zaidi,waolewaji mbona wanakazi ya ziada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…