WANAWAKE MNACHOSHA SANA

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Mke baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji mme wake kalazimika kuvumilia kwa zaidi ya miezi mitatu bila fufanya tendo la ndoa hadi akaanza kutokwa vipele usoni pamoja na vijipu [emoji15] wanaume sisi ni wavumilivu sana kuliko wanawake[emoji87]

baada ya mke kuona vile akawa anamuonea huruma sana mme wake

mke akaamua kuchukua elf30 akampa mme wake akamwambia aende akatafute mwanamke ili amalize hamu zake ila akamwambia mme wake kuwa "NAOMBA LAKIN UTUMIE KINGA USIJE UKAAMBUKIZWA MAGONJWA"

mme akapokea na kuondoka huku akimshukuru sana mke wake kwa moyo wake wa huruma[emoji39]

baada ya saa moja kama na robo mme akarudi akiwa anatabasam sana huku akionekana mwepesi na mchangamfu[emoji1]

mke akamuuliza vipi mbona umewahi sana kurudi?

mme akajibu akisema"sijaenda mbali nimefanikiwa kupata hapo jirani tu kwa mama MONIKA siunajua mme wake hayupo amesafiri? kwahyo nilivyo mwambia tu akakubali kwakuwa nayeye alikuwa na hamu kwakuwa hajafanya siku nyingi kwakuwa mme wake hayupo"

mke akasema "basi kama na hapo kwa mama monika naamin amekupa bure kwakuwa ni jirani yetu kwahyo pesa zipo wapi?

mme akasema hapana alikataa kukubali kwa bure na nilimpa elf 10 akasema haitoshi kwahyo nikampa tu yote ndo kakubali"

mke kumbe mama MONIKA ana roho mbaya hivyo? yeye mbona alipo jifungua MONIKA nilimpa mme wake bure yeye ameshindwa nini kukupa bure?

mme hadi muda huu bado hajaongea chochote na naona amelala chali itakuwa ni uchovu wa safari ![emoji23][emoji23]

Mambo hayo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ningechukua hizo pesa nimtafute Amber Ruty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…