Duuu!Kweli elimu ya afya wanahitaji..ni muhimu sana!
Elimu ya mazoezi na afya ili wapunguze vitambi sasa...Haki ya vitambi ni ya wanaume tuuuDuuu!
Yeah nilipata kusikia mahali kuwa kitambi ni ugonjwa wa tabia... Tabia ya kuendekeza kula sana milo isiyo sahihi na kutokupenda kufanya mazoezi ya mwiliAlafu hawajistukii kabisa. As time goes na idadi ya wenye vitambi inaongezeka.
Ujue nahisi wenzetu wana evoluate. Miaka ya zaman walikuwa wanajinyima kula ili wamaintain shape. Ila cku hiz duh.Yeah nilipata kusikia mahali kuwa kitambi ni ugonjwa wa tabia... Tabia ya kuendekeza kula sana milo isiyo sahihi na kutokupenda kufanya mazoezi ya mwili
wamejiachia na kubwetekaUjue nahisi wenzetu wana evoluate. Miaka ya zaman walikuwa wanajinyima kula ili wamaintain shape. Ila cku hiz duh.
Hizi junk food zinawaharibu sana hawa dada zetuChips kuku zinawalemaza.