Usipolizika kitandani umtafute ali bod boda akupe mambo,vyote fanyike tu kwenu wanawake.My friend..vyote kwa pamoja aiseeh..
Ila likija swala la ndoa nitaangalia upendo wa dhati ukisindikizwa na vijihela kwa mbaaaali ili mambo yapate kwenda vizuri[emoji2957][emoji2957]
Mbona watu wenye kipato kidogo wana watoto wengi kuliko watu wenye kipato kikubwa ?Anaijua vizuri dhiki/njaa. Penye dhiki hata hiyo hamu ya kunyanduana huwezi kupata.
Pesa ndio chanzo cha nyege. Kuna watu walikuwa malaya wanabadilisha wanawake kila kukicha ila baada ya kufulia hata jogoo hawiki.
Unaamka asubuhi unapiga miayo tu hujui utakula nini hiyo hamu ya tendo itatoka wapi?
Amebadili gia angani baada ya kuona mambo si mamboHuyu c ndio alikua Anataka mahali ya mil 500, au kastuka anaona jua linaenda kuzama soon