Bacore
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 222
- 228
wadau, habari zenu,
Dada zangu mnao uza papuchi, hivi mmekataa kabisa kufikilia aina nyingine ya biashara, mkachagua kujiuza? Siku zote yule muuzaji ndio mbaya sana, wateja watajuaje aina ya bidhaa, kama haijatangazwa" niwafumbe midomo manake mngekuja kusema vipi kuhusu wanunuzi! wengi wenu mchana mnaonekana innocents, ifikapo usiku, mnakuwa tofauti kabisa, kwakweli muache kutusumbua tunapo pita njia.
Kwanza mnaharibu sifa ya mwanamke, usemi ule wa mwanamke ni chombo cha starehe mnautimiza, na kuwadhalilisha wanawake wengine, wewe mwanamke unatembea na wanaume zaidi ya 30 kwa siku, kweli!! alafu mnakuja kutafuta ndoa, baada ya kutumika sana, inajulikana kuwa dunia ndipo ilipo fikia, lakini sio kwa uwingi huo na idadi hiyo ya wauza K. daah!
Najua wauzaji mtatoa mapovu hapa pamoja na wateja wenu, lakini Mungu yupo upande wangu kunitetea, acheni mtelemko, tafuteni kazi zingine.