wanawake mnaoongea sana hovyoo

Ndivyo nilivyomuelewa huyu mtoa mada..

Hiyo para ya mwisho inashida gani?

Mwanamke anayeongea kwa stara anapendeza siyo kurukia rukia mambo

Inaongelea kuongea sana (sijui kama hua anahesabu maneno au la) vs kuongea kwa mapozz na sio kuongea kwa stara. Unless kwenu mtu anaeongea huku amebana pua na kuvuta pumzi kila baada ya neno ndio stara a.k.a staha bado sijawasoma.
 
Lizzy,Kongosho na wengine ambao mtoa mada hamjaenda naye frequency moja,ni hivi:
kuna watu wana tabia ya kutaka waongee wao tu wengine msikilize tu hata kama ana rap tu bila point,wana bore jamani!
 
Aongeze maelezo sio aishie kusema sio tuonge kwa nukta sijui koma.Mara tusiongee sana.Kwanini tusiongee wakati tuna ya kuongea na waliotozunguka wanapenda kutusikiliza na sisi tunapenda kuwasikilza wao?
 
Lizzy unaelewa bana ,you know the type regardless of gender,hawajui kwamba wisdom iko kwenye silence na wisdom is a virtue.
 
Is it now?
Haya hongera kwa wote wale ambao Mungu hakuwajalia sauti.
 
Lizzy,Kongosho na wengine ambao mtoa mada hamjaenda naye frequency moja,ni hivi:
kuna watu wana tabia ya kutaka waongee wao tu wengine msikilize tu hata kama ana rap tu bila point,wana bore jamani!

Sasa hao watu ni jinsi ya kike tu?
 
mtoa mada..unamaaania ...Mama sipitwi...pekupeku...shambenga......pashkuna...kizabizabina..
 
who knows,mbona hata chui na ukali wake anapigwa mimba?

I know.
Mtu mwenye mawazo kama ya mtoa mada hata urafiki nae sitaki. Maana ndio wale hata akisema kitu sicho ukamrekebisha basi anaenda kutangaza mtaani kua unaongea sana/unajifanya mjuaji.
 
:behindsofa:
 
ha ha ha haaa... :lol:
 
Ita upendavyo, thamani yangu i pale pale

They call me resourse, they call me ore, they call me concentrate, they call me GOLD

It depends on where I am, simply gold

Duuuuuh nashindwa kusema kama ni mcharuko?
 
Huyu atakuambia

Sikujui hunijui, achana na mimi
Afu kumbe wewe ni mkewe

I know.
Mtu mwenye mawazo kama ya mtoa mada hata urafiki nae sitaki. Maana ndio wale hata akisema kitu sicho ukamrekebisha basi anaenda kutangaza mtaani kua unaongea sana/unajifanya mjuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…