Hilo nalo neno. Mada imesomeka. Yani mtu unatakiwa uwe unapiga mahesabu cha kuongea kutokana na adhara. Sio unaleta story za egoli temeke ambako majority hawana TV (am jocking).
Kuna dada fulani nilikutana nae kwa shem wangu ni rafiki wa girlfriend wa shem wangu nlichoka. Watu wanapiga story za maana yeye kakazana kutunyamazisha tusikilize mziki wa kalamu na karatasi (bongo fleva), tena anaongeza sauti kabisa eti huu mziki mzuri sana. Bado anachomekea story zake ambazo haziendani kabisa na wadau waliomzunguka, wanampotezea yeye haisomi tu. Njiani hubby akananiuliza yule binti kichwa yake iko sawa kweli?
Hamna kitu kizuri kama kutokubwabwaja unapokutana na watu usowajua. Watakudharau bureee. Because you will never know what to say and how to say it. Mi kama watu siwajuhi kwa kweli nakuwa bubu it is safe that way.