Kwaiyo mke na mume ni ruhsa kupigana picha za uchi mkiwa faragha?
Kabisa, kwani wanakatazwa na nani? Mimi ikiwekwa picha online wakati namla mke wangu sina shida.
NdioUlishapigwa picha?
Daaah 🤣🤣 aseeUsikute ndo zile zina zagaa kule Telegram
Jiandae mkuu. Soon or later kuna jambo litakukuta.Niaje mabibi na mabwana
Kuna manzi angu imezoea sana kunipiga picha tukiwa faragha licha ya kuikataza na kuionya mara kadhaa ila imekuwa ikirudia sana iko kitendo kiasi cha kunifanya nishtuke.
Kama ni zinaweza kutumika kwa mambo ya kishirikina nataka kujua Mshana Jr na wataalamu wa haya mambo hasa wanawake karibuni
Jambo lipiJiandae mkuu. Soon or later kuna jambo litakukuta.
Kishirikina sio sana bali kwa matumizi ya baadae ya black mailing ndio hatari zaidi, ni rahisi zaidi kupata manii na nguo zako za ndani kuliko hiyo picha yenye processNiaje mabibi na mabwana
Kuna manzi angu imezoea sana kunipiga picha tukiwa faragha licha ya kuikataza na kuionya mara kadhaa ila imekuwa ikirudia sana iko kitendo kiasi cha kunifanya nishtuke.
Kama ni zinaweza kutumika kwa mambo ya kishirikina nataka kujua Mshana Jr na wataalamu wa haya mambo hasa wanawake karibuni
Sawa shukrani sanaKishirikina sio sana bali kwa matumizi ya baadae ya black mailing ndio hatari zaidi, ni rahisi zaidi kupata manii na nguo zako za ndani kuliko hiyo picha yenye process