Naimani hata kina niffah wanaweza kuendesha baiskeli
hapana hivyo hivyo ndivyo ulivyoEti mume wangu nikishaweza hilo ili iweje?
Je unahitaji niweze kuendesha baiskeli nikiwa a chungu kichwani?
Thanks huby, maana wewe ndio nakusikiliza, hao wengine ni kelele za chura tu.hapana hivyo hivyo ndivyo ulivyo
kelele za radi haizuii mvua kunyeshaThanks huby, maana wewe ndio nakusikiliza, hao wengine ni kelele za chura tu.
Wazungu hawawez hawana competence kwa hiyo hawathubutu.Watu na fani zao bwana, kwakweli wana kipaji, haya yangeweza kuwekwa kuwa mashindano ya Olympic.