Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Wakuu,
Kuna wadada na wamama huku mitaani tunapoishi wana tabia ya kukaa vibarazani nje iwe mchana iwe usiku wanakaa hapo sehemu ya njia watu kupita kuna hizi barabara za mitaa sasa nyumba zimepangana pembeni barabara inapita katikati wamekaa vibarazani kuwachora wanaopita njia yaan wanatega hapo kuwachora wanaopita njia..
Hawa wadada na wamama hawana kabisa kazi za kufanya yaan wapo wapo tu humuoni akienda kwenye kashughuli chochote yeye akiamka asubuhi sababu chumba chake hakina sealing board ndani kuna joto balaa kwa hio anatoka nje analundikana na wenzake hapo nje wanaitaka wanaanza kupiga umbea.
Hapo wanachokiongea sio cha maana hukuti wanazungumzia mambo ya fedha ya kuongeza kipato na kukua kiuchumi hapo topic utakazokuta ni umbea na udaku kutajataja majina ya wasanii na kuwalinganisha watu, sasa ombea usikatize hapo wanahamishia topic kwako kuanzia ulivyovaa mpaka unavyoonekana na mbaya zaidi wanaweza wakaishia kukucheka.
Muda wote wapo pale hawajacheka ila unapopita wewe tu na hujawasalimia wakaanza kukuongelea na sio kwamba wewe hausikii unasikia na mwisho kabisa wanaanza kucheka, sasa mimi nikikuta wamama au wadada wa aina hio wameweka kakikundi nje ya chumba chao cha giza chenye joto au vibarazani wamejianika nje km mamba waliotoka mtoni hua siwasalimii kabisa nawapita zangu km napita miti mikavu iliyosimama naendelea na mambo yangu.
Sasa nyie wamama na wadada msio na kazi za kufanya kazi zenu kushinda vibarazani kuwasema wapita njia tu mtafanya hio kazi ya kushinda vibarazani mmelundikana vibarazani na kupiga umbea mpaka lini au mnafanya kazi zenu za siri na hamsemi mnauza bei gani?
Niishie hapa.