Wanawake mnaoshinda vibarazani kuwasema wapitanjia muache hiyo tabia, mnakera

Uhuru wa kuwaongelea wanaopita njia hio tabia sio tabia nzuri yaan wewe unakaa kibazani na mama yako kuwazungumzia wanaopita njia mna akili nyinyi au masifuri?
Mpaka ulipofikia umesemwa na wangap na mangap? Kunasehem umepata jerah au ulikufa? Achen waseme wakimaliza usiku wanalala na aliyesemwa hapatwi na lolote maneno hayaui ndo maana watanzania tunapata magonjwa ya mishtuko sababu ya kuwaza vitu kama Ivo et wale wananisema so what? Acha wasema hakuna kitakachobadilika kwenye mwili au maisha yako
 
Tatizo ya hii mama misingo maza iliyozalishwa na kuachwa km mipakacha imebakia kua mikurumbembe tu kazi haina kazi kushinda vibarazani kuongelea wapita njia ndio nasemaje waache mboni kazi zipo nyingi za kufanya issue hapa sio kusemwa issue waache hizo tabia watafute kazi za kufanya kusuka mikeka, kutengeneza vyungu, nk hawawezi kufanya hizo kazi kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…