Wanawake mnaotangaza kutafta wanaume acheni porojo

Wanawake mnaotangaza kutafta wanaume acheni porojo

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,807
Reaction score
1,675
Wakuu habarini za Jioni!

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza, ninaomba kutoa masikitiko yangu kwa hawa wadada humu JF wanaotangaza kutafuta wenza.

Hawa nimegundua kuwa wapo humu kutuchezea akili zetu maana hata ukimuapochi PM hajibu wakati wala hujaanza kutiririka wasifu wako.

Naomba nichukue fursa hii kuwaambia wanaume wenzangu pindi muonapo bango la mwanamke kutafta mwanaume potezeeni kabisa wala msijishughulishe.

Nawasilisha kwa hatua zenu

Iholomela Bhugalibhuganga
 
Back
Top Bottom