Lina kitanda kbs, ndio ninalokula nalo bata hapa town uko wapi nikupitie?Mi napanda ule mgari mkuubwaa semi trela !yani nkiwa mule naskia burudani walah!
mkuu tunaongelea heshima sio kuiba wake za watu
Hata mimi ninayeuza dawa za mende,kunguni,viroboto mbona naiba sana wake za watu na sina gari?!
Hiyo siitaki.......Yeah.. kama range anayotumia wema
Hahaha mkuu umebadili gia sasa cha msingi nikuuzie dawa za mende sijapata mteja tangu asubuhi na jua la utosi hili hapa...Mkuu, energy unayotumia sasa inaweza kuwa kubwa, mizunguko mingi sana. Ila mimi siongelei wake za watu, naongelea wale wadada single wa mjini.
Hahaha mkuu umebadili gia sasa cha msingi nikuuzie dawa za mende sijapata mteja tangu asubuhi na jua la utosi hili hapa...
Huyo jamaa yako atakuwa anaiongelea ile range kama ya Wema iliyouzwa na TRAKuna jamaa alikuwa analalamikia makalio yake, au ndio hizi gari za akina wema? Sio Murano kweli? Siigusi.
Huyo jamaa yako atakuwa anaiongelea ile range kama ya Wema iliyouzwa na TRA
Wema story ya gari ni kipindi kile kabla kamata kamata haijakolea saa hivi nae kachoka ndiyo maana gari lake lilipigwa mnada na TRAHivi Wema hafilisiki au jamaa zake kukamatwa pabaya na Magufuli? Mjini hapa mbona najua jamaa kibao wametelekeza michepuko baada ya machimbo yao kubuma, wema michepuko yake ina nini?
Wema story ya gari ni kipindi kile kabla kamata kamata haijakolea saa hivi nae kachoka ndiyo maana gari lake lilipigwa mnada na TRA