The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
Wanaume sisi ni watu tulio wazi sana kwenye hisia zetu tunapopenda na kutamani kitu chochote,ninapokupenda mwanamke nitakufata nitaanza ukaribu nawe kisha nitatafuta siku nitaomba tukae sehemu tulivu nzuri kwa ajili ya kumwaga yalio ujaza moyo wangu.
Ajabu ni kwamba sisi baada ya kuwasilisha hoja zetu kwenu wanawawake ni asilimia 1% out of 100% atakwambia Sawa nimekukubali pale pale, wengi hukwambia naomba nikufikirie nipe muda.
lakini hata baada ya kumpa huo muda aliotaka, Wale wenye majibu ya HAPANA wengi wao atleast 40% huweza kusema "nimefikiria ombi lako naona haliwezekani" lakini 60% ya waliobaki wale ambao wamekubali sasa,Hawatosema kitu.
Utamuona anajichekesha chekesha,ukimuita muende mahali anakubali,ukimwambia njoo kwangu atakuja,ukitaka kula vyakujilia utajilia vizuri tu KUMBUKA hajakwambia kama kaku kubalia ila anafanya yote hayo akiamini ndio njia pekee ya kusema YES. "Mnakosea"
Binafsi wale wote waliojaribu nijibu kwa style hiyo niliwakula na baadae nikawa naendelea kuishi kama nipo single,akiniuliza mbona hanielewi namimi najitoa ufahamu "vipi kwani" naendelea kusubiri JIBU.
wadada niwambie jambo 1, mahusiano yahitaji u serious acheni drama zenu za kihindi,WANAUME tukiwapenda tunawatongoza jifunzeni kuongea mjibu ndio au hapana.
Hatukushindwa kuanza kwa vitendo kama nyie mnavyotumia njia zenu hizo kutujibu,Binafsi mwanamke ninaekutongoza unanijibu kwa vitendo ujue nitakukula then nitasubiri siku utakapo kuwa serious na haya mahusiano uniweke chini uniiimbishe.
Hamna mahali imeandikwa mwanaume mtongoze mwanamke ila mwanamke akujibu kwa vitendo.BADILIKENI la sivyo mtaona hatupo serious kila siku.