Wanawake mnataka nini?

Baadhi ya wanaume acheni kuwa watumwa wa wanawake (mimi sio mtumwa wa mwanamke).

Care as well as don't care,yani pesa unampatia na kitandani umlizishe.Lakini yeye hata asipokulizisha hajali.

African fathers are social fathers,not biological fathers.

Mwanaume ishi maisha yako,zaeni watoto and mind nothing.

Akizingua achana naye,akiringa, potezea,akisusa,poa.Akikupa mbususu,sugua,ukikojoa na yeye hajakojoa,atajikojolesha if hajali hisia zako.

Kukaa kuwaza jinsi ya kumridhisha mtu asiye kujali kihisia ni UTUMWA!
 
Hakuna namna unaweza kumtuliza mtoto wa mtu, tena mumekutana ukubwani, ameshafanya ushenzi wote huko duniani, leo unamuweka ndani nakujidai ni wako, cha msingi tuvumiliane na kufichiana siri, ndio wazee wetu waluvyokuwa wanaishi, aliyesema kitanda hakizai haramu alifikiria mbali.
 
Na Hilo liwatihibitishie kile ninachokisema humu kua "Wanawake ni wabinafsi sana, wanafiki sana , hivo msiwachukulie kama Malaika"

Ishini nao Kwa akili !!! Mjini shule.

Wakati kwenye Maisha yako Kuna sehem ukienda unaambiwa tumia akili Kuna matapeli sana, hiyo akili ndo muitumie kuishi na Wanawake hasa hiki kizazi Cha FB, IG,Tt, JF, Badoo,Tinder N.k !!

Kwakweli Maisha yangu kwenye suala la Mahusiano, Nimelinyoosha haswaaa🤩.
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Wanawake wanataka mashetani ya kikristo na wabakaji wa kikristo
 
Mchungaji aliingia kichwa kichwa kila siku msukuma wangu hivi msakuma wangu vile kumbe katibu alikua anamchora tu
 
KUWA MODERATE!
Usioe mwanamke aliekuzidi au uliemzidi SANA vitu hivi!
Pesa
Shida
Mamlaka
Umaarufu
Mapenzi

BE POSITIVE+
 
Unajisumbua na wanawake,we chapa sepa ukijifanya unaweka kambi ndo yatawakuta ya mkandamiziwaji
 
Shetani yupo kazini, pamoja na maajengi wake ambao hawana nafsi, ambao ni wanaume Wana nafsi za like, wanawake wenye nafsi za kiume
 
Kuishi nao Kwa akili don't trust them 100%
Hakika, na ni swala la kutumia common sense, ila sasa changamoto ni hii COMMON SENSE IS NOT COMMON
--
Signature yako imenifikisha.
 
Uongo uongo uongo huo.. Hata uwe unajua Kusugua kama anamtaka mwenye Gari na Hauna Hilo gari imekula Kwako..

Kama Akimpata Mwenye Gari na Akataka Mwenye Gari la Maana Hata Uwe na Hiyo IST yako atakata Mwenye Harrier na Prado na Ataenda Mwenye Range Rover na V8..

Jifurahishe Mwenyewe na Tengeneza Urithi wa Watoto wako Basi.. Na ukipata Hela Anza Kutumia Mwenyewe kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…