Binafsi nimeoa ni miaka 20 sasa! Na sina mpango wa kuoa tena! Mimi na mke wangu tunafurahia mapenzi kila siku. Kila siku ni sikukuu!
Tatizo linalo wakabili wanandoa wengi ni 'uhaba wa mawasiliano katika ndoa'. Ni vyema wanandoa kushauriana! Suala la mapenzi sio la mtu mmoja (mke au mume tu). Kaeni chini mzungumze! Muulize mwenza wako anataka nini! Kuweni wavumbuzi!
Sababu nyingine inayowasumbua wanandoa wengi ni kutembea nje ya ndoa. Unakutana na 'type' mbalimbali. Hautokaa uridhike na mume au mkeo kamwe! Wengi wenu mmezoea kulambalamba nje! Acheni hako kamchezo na ridhika na mwandani wako!
Personally, I'm satisfied and I dont have feelings for anyone except my 'sweet wife', she knows what I want and I know what she want!