Wanawake mngejua...


Hapo kwa blue ni theory zaidi, mara nyingi watu wanapenda kwa kuona na baadae tabia na mengineyo huja ku cement kilichopo tayari - narudia tena hii ni kwa mujibu wa wanaume! ngoja nikae pembeni waje wathibitishe wenyewe...

Annina
 

mkuu ni kweli ila nikimpata atakaenivutia na nikakutana na mwenye mvuto njiani basi hasira zitamwishia waif. Katika mahusiano yangu na hao niliokuwa nao sikuwahi kucheat kwani nilitafuta wa kukidhi matamanio yangu. Ktk hili mniamini
 

bora umejaribu kuwa mkweli
 

sure, kuna mapenzi yasiyoangalia muonekano ila hayo ni machache. Watu tumetofautiana. Wakati mwingine unajiuliza jamaa alimpendea nini, au jamaa alipendewa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…