Wanawake msaada!

On the contrary, nadhani wanawake wakiolewa wanapenda sex zaidi ya waume zao na ndio maana kuna cry all the times kwamba hawako satisfied!

Chunguza kwa makini zaidi!

Hawawezi kuwa satisfied kwa sababu wakiolewa wanadhani wamemaliza kazi yao.
Suala la mtu kuwa satisfied ni yeye mwenyewe kujiweka mazingara hayo.
Mbona sisi wanaume huwa satisfied????
 

Ni kiburi tu, kwani unapoolewa hujui kama kuna hili tendo??
Misingi ya ndoa ni hili tendo otherwise no marriage at all. Kwa mujibu wa sheria.
 
Ni kiburi tu, kwani unapoolewa hujui kama kuna hili tendo??
Misingi ya ndoa ni hili tendo otherwise no marriage at all. Kwa mujibu wa sheria.

eheee!!! Umeona sasa?? With that attitude kweli mtafika??
mwanamke mbembeleze bana si mkeo nini kinakuzuia??
(Mradi asizidishe pozi za kununa kila saa).... Muulize wat is wrong
acha mambo ya kusema ni kiburi tu... Nyie wanaume hamjui tu
mwanamke wako kama lile tendo wewe unafanya ipasavyo wewe
ndio utaanza kulalama unataka kupumzika... hilo nalo liangalie kwa undani!!
 

Nafikiri ni kwa kuwa hata mazingira ya kushawishiwa yanakuwa yamebadilika!
Ugongaji hodi chumbani wakati wa uchumba mara nyingi hubadilika wakati wa ndani ya ndoa
 
Nimependa haya mawazo kwa 30%tu!
 
Mwenye hila yake haachi! Hata umpe 3times a day atatoka tu. Mimi mtu asinitishie kutoka,kama sijisikii hapati na akiamua kwenda aende salama na akifika awasalimie. Ila nikimshika!
 
Smart chunguza kwa makini ni kwa nini unakataliwa unyumba maana hivyo visingizio vina sababu zake. Sidhani mwanamke atatoa tuu visingizio bila kuwa na sababu za maana. Kwako inawezekana unalazimisha au huwa humuandai mkeo au haridhiki na huduma zako. So chunguza ni nini kinachomfanya atoe visingizio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…