Wanawake, msaidieni mwanamke mwenzenu

Wanawake, msaidieni mwanamke mwenzenu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
MKAKA: Sweety mambo?
MDADA: Poa asante
MKAKA: Samahani dada, mimi ni kijana ambaye
nimekuwa nikikufuatilia kwa muda sasa, na
nimegundua wewe ni mtu ambaye ningependa uwe
mke wangu niishi nawe milele, naomba nikuoe MDADA: Haleluya, hatimae sala zangu zimejibu,
nimepata taabu sana mimi kaka, nimedanganywa na
wanaume wengi nikajitahidi kutumia waganga wengi
ili nipate mume haikuwezekana, nikaamua kuokoka ,
nikafunga sana na kukesha sana na kutoa sadaka
sana hakikutokea kitu, nikaamua kujiingiza hata katika klabu za mpira, mwaka mmoja nikawa Yanga
mwingine nikawa simba, wapi sikupata mume wa
kunioa, nikajikondesha niwe na shepu ya kimiss lakini
bure, nikahama toka Moshi nikaenda Tanga na
hatimae kuja kuja Dar haikusaidia, nikajiunga na
facebook, twitter, instagram, whatsapp nikaanzisha mpaka blog ya kujieleza natafuta mume, sikupata
mume wa kunitamikia atanioa, nikajitahidi
kuhudhuria maharusi mbalimbali bure, hatimae leo
maombi yangu yamejibu, asante sana kaka niko
tayari hata leo kufunga ndoa
MKAKA: Nakutaniaaaaaaaaa
 
huyo kaka konyo kweli..ndo nn kumfanyia dada wa watu hivo..
DADA NJOO NKUUNGANISHE NA STUNTER AKUOE.
 
Back
Top Bottom