Th3the
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,327
- 1,779
Habari zenu wakuu!!
Niende straight kwenye mada husika ..unakutana njiani na ex wako unaona siyo ustarabu kumkaushia unaamua kumsalimia lakini cha kushangaza anakuchunia..wengine inafikia Hadi kipindi mkionana tu anaweza change uelekeo au akarudi alikokuwa anatoka ilimradi msionane kisa anachuki na hasira za kuachana ( kweli wapendanao siku wakiachana huwa wanakuja kuwa maadui wakubwa sana)
Kuna mwingine nilimpiga chini ..ila kwa chuki aliyo nayo si ya nchi hii..imagine MTU yuko church alafu nafasi zimejaa alafu umechelewa kuingia ukona nafasi ipo karibu nae..then unaenda kukaa pale kiroho safi ..ila baada ya kukuona tu anaondoka eneo lile kwa hasira mpaka anahairisha ibada ..kweli wanawake MNA chuki Kali.aiseee .ndio maana siku hizi siwaachi huwa nawapanga hata kama mko mia..sitaki kuchukiana na MTU mie
My opinion: kama mmeachana msichukiane kijinga ..Mara kumblock mtu kwenye simu mpaka social media ..alafu hata huyo mtu hana shida na wewe
Wanawake mbadilike sisi wanaume hatuna shida kabisa ..hili tatizo liko katika jinsia pinzani