Wanawake Msipoacha Huu Ujinga, Basi Tusilaumiane..

Aiseee STUNTER uandishi wako kiboko full malalamiko guess amekusikia jaman kweli asimpe nauli sio kwa malalamiko haya
Kuna wengine hata wapendwe hawapendeki.... Ah
 
Haha haha,teh teh nimecheka Sana ambiwa kungfu si kungfu taekwondo si taekwondo.Lakin Pole
Ahsante sana... But nadhani wewe ni wale waja leo waondoka leo
 
Mkuu, kuna wengine hawana kabisa hisia za mapenzi ila wanatoa papuchi ili kumentain status zao basi...
 

Pole kwa yaliyokukuta mkuu.......
 
kuna mambo mengi ya kuiga kutoka kwa mbwa,, lakini wengi huiga only Dog style mengine hakunaa

*nimeitoa mahala flank hivi*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…