Wanawake msitupime imani kiivyo....

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,133
mke kamtuma shogake amtest mumewe km ni mwaminifu. Mume alipostukia ni mtego akajiingiza line wakabadili hotel ambayo mkewe na shost walitaka wende akazma na cm za wote akalamba. Mke anahaha hajui wapo wapi. Shost wake kanogewa anataka tena!
 
If you are going through hell, keep going.
 
Kawaida tu hiyo. Dawa ya moto ni mot
 
sasa shida ipo wapi? si ameishajua matokeo ya test aliyotoa!
 
Wengi sana wana tabia hiyo..unapigiwa simu kumbe mtu yuko na wife....
Huyo jamaa amenifurahisha...Bora lawama kuliko fedheha !
 
Hhahahaaa, yaani kakosa njia nyingine kabsaaaa... angemtumia hata housegirl ambaye angeweza kumbana aseme ukweli, sasa utakuta shosti yake hana mume, na ana mahitaji hayo, leo kapata hio penati, afanyeje kama sio kufunga??
 
Utani hakuna!

mmmhh ngoja na mie nijaribu hiyo siku moja
labda itafanya kazi..
halafu nta mtuma rafiki yangu..
aliejazia ma hips, mguu chupa ya bia..
sura inateleza ka mlendaa
ameumbika kuliko Ry C...
 
safi sn. Kupmana gn huko jaman?? Ye km hn iman na mumewe c alianzishe kvyake?! Ama kwel dawa ya moto ni moto, hapo ni shost wake je hao acowajua?
 
mke kamtuma shogake amtest mumewe km ni mwaminifu. Mume alipostukia ni mtego akajiingiza line wakabadili hotel ambayo mkewe na shost walitaka wende akazma na cm za wote akalamba. Mke anahaha hajui wapo wapi. Shost wake kanogewa anataka tena!

asante sana kwa kunifundisha kitu mwaka huu..............
 
Da huyo mwanaume kwa kweli anaonekana ni mzoefu wa kumega nje ya ndoa!
 
mmmhh ngoja na mie nijaribu hiyo siku moja
labda itafanya kazi..
halafu nta mtuma rafiki yangu..
aliejazia ma hips, mguu chupa ya bia..
sura inateleza ka mlendaa
ameumbika kuliko Ry C...

Haya weeee! naona kabisa itakuwa kama ya huyu aliyejaribu jiandae mkao wa kulia tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…