Wanawake mtabadilika lini????

Chimbinga

New Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Kusema kweli japo kuwa sio wote lakini asilimia kubwa wanawake bado mmeshindwa kutambua kuwa dunia ya utegemezi imeishapitwa na wakati ni ukweli usifichika wanawake mmezidi kuomba omba pesa wengi wenu saa hizi mmelala kusubiri jioni bwana arudi akutoe ou hadi lini?? kwanini isifike mahari tukwa tunashare BILL??:embarassed2::embarassed2:
 
Hizi habari sio za kweli. Wanawake wengi siku hizi ndio wamebeba nyumba. Hebu fanya utafiti mdogo tu!!!!
 

Ndugu yangu haya mambo yanaenda hatua kwa hatua kwani hata Mbuyu ulianza kama Mchicha... Ukiwa makini utagundua kwamba kwa kipindi hiki wanawake tumeanza kubadilika si kama enzi zileee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…