Wanawake Mtambuzi mmemhonga nini?

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Tangu siku mliyompiga 'mkwara' apunguze kutupatia elimu dunia kuhusu wanawake eti kwa kigezo anawakata 'steam' mimi kama mwanaume ninasikitika sana. Yaani mengi na elimu nzuri tuliyokuwa tukiipata toka kwa Mtambuzi kuhusu nyinyi wanawake ni kama imezimwa mithili ya mshumaa katikati ya upepo mkali.

Natamani ningekuwa na uwezo ningemwambia Mtambuzi basi badala ya kuacha kutoka mada 'tamu' zinazohusu hii jinsia, angejaribu kupata ushauri wenu wa nini basi mnataka awe anakiongelea badala ya kusitisha kutoa kamba za ukeni. Wakina dada mwambieni basi vitu gani mngefurahi awe anaviandika kuhusu nyinyi. Ktk hili kaka Mtambuzi wanaume tutaendelea kukudai juu ya hiyo elimu ya wanawake.

Wadada mliomchimba 'mkwara' Mtambuzi vitu gani mngependa aviongee juu yenu badala ya kumchimba 'bit' kama mlivyofanya?
 
Ah kwa raha zake andike tuu kama kweli tutakubali kama sio kweli tutakataa...
 
Ah kwa raha zake andike tuu kama kweli tutakubali kama sio kweli tutakataa...

wengi wenu mlishamwambia enough.........ahamie upande wa pili ndo hapo ukimya wake ulipoanzia
 

Ndo maana na wewe siku hizi nakuona unajitahidi kuleta vistory vya uongo na kweli kuhusu wanawake ee? Kazana utamfikia mtambuzi!
 
Ndo maana na wewe siku hizi nakuona unajitahidi kuleta vistory vya uongo na kweli kuhusu wanawake ee? Kazana utamfikia mtambuzi!

Sio kweli kabisa. Isitoshe wengi huongelea mambo ya wanawake humu ndani nadhani hauko sahihi
 
Mwambie aandike tu kwa raha zake, tutajibu mapigo, hatishwi mtu hapa!
 
ninamfagilia sana mtambuzi... Yule original kabla ya kuchakachuliwa na mmu geloz
 
Pole Mkuu Mtambuzi,
mimi nakukubali kwa asilimia zote,
najua hata binti zako Cantalisia na Zinduna wanakukubali,
sijui Ashadii, Lizzy, Afrodenzi, Kongosho, Dena Amsi, Marytina, King'asti na wengineo kibao humu jf wanasemaje kuhusu wewe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…