SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Wakuu mambo vipi? Mimi hali yangu si nzuri sana.
Naandika uzi huu nikiwa na maumivu sana kwenye uume wangu, sijui kama alinifanyia makusudi au laa. Kuna mwanamke nimetoka kupiga (kwa leo lengo siyo kusimulia nime mpataje mpataje), katika kuandaana mwanamke akachukua mike yangu akaingia studio kupiga mistari (nadhani wakubwa tumeelewana).
Sasa alikua ananikwaruza kwa meno, mara ya kwanza niliweza vumilia ila ikifika hatua nikasema hapana, huyu atakua ngariba, ataniweka kidonda. Nkajikuta namwambia kwa hasira unaniumizaah!
Alishtuka na kuanza kuniambia samahani nlikua sijui kama inauma. Mi nikampuuzia kwa hasira nikaenda bafuni kupooza mike na maji ya baridi angalau nipoe.
Jamani wanawake uume wa mwanaume ni very sensitive na meno, tafadhali kama huwezi kajifunze kwa mashoga wenzio wanaoweza wakuelekeze, mtakuja kututia ugumba bure, daah!