Wanawake, muda gani huwa unachukua kufika kileleni?

Wanawake wa kiafrica ni shida, Ukikutana nao lazima ujiandae.

Kumchakaza mwanamke wakizungu au wakihndi ni kazi nyepesi tu, Lakini muafrika duh!!!!!!! ukiregeo umetolewa knockout.. Hongereni Dada Zetu.
Wanawake wote duniani ni baba mmoja mama mmoja, asikudanganye mtu.
 
Wewe bibi yetu enzi zako ulikuwaga unatumia dakika ngap kufika kilelen

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke hapimwi kama mwanamme.

Mwanamke anaanza kufika kileleni kabla hata ya kuingiliana.

Mwanamke hapandani tu akastarehe bila kuwa na hisia, atakudanganya tu. Umalize uteremke ukajambe ulale.
 
Mwanamke akiwa na hisia za karibu na wewe kufika kileleni Ni dakika sifuri tu.
Yaani huyo ukimgusa tu tayari.
 
Ukweli ni kwamba, wanawake asilimia kubwa hawafiki kileleni. Na hao wanaofika kileleni asilimia kubwa sio kwa njia ya penetration kama wanaume wengi wanavyodhani, ila ni kwa kuchezewa kisimi. Pia wanawake sio kila tendo lazima wafike kileleni, hatupo sawa. Wanaume wanadhani sababu wao ni rahisi kufika kileleni basi na wanawake ni hivyo hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚, kukosa hii elimu kunafanya wengi wa wanaume kuibiwa, kudanganywa, kuigiziwa na wanawake kwamba wamefika tayari. Elimu hii wengi sana hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…