Men have money, women have tamaa"Men have muscles, women have powers."
Strength of a woman.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hapa kuna ukweli ndani yakeMen have money, women have tamaa
power of money
Ha ha ha! Ni kweli kabisa mafuriko ya kwenda gym yamevikumba mpaka vitoto vya sekondari. Ni jambo zuri kufanya mazoezi bila kujali driving factor. Sijui, kama sababu hiyo uliyoisema ni driving force kwa wote!Mahitaji yenu yamesababisha mafuriko kwenye gym......
Vijana wapo busy kujenga miili ya mazoezi....
Vifaa vya mazoezi kama raba, vyuma, kamba sasa vinauzika....
Vijana wanakimbia na kupiga pushups, sut ups kila asubuhi na ijioni....
Ila sasa wale wafupi we are disadvantaged, maana tunazidi kudidimia....
Miondoko imebadilika lakini, tunatembea kama tuna majipu kwapani....
Wanawake mkiwezeshwa mnaweza....
wakati wenzako wanaongeza hela we unaongeza kifua[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hapa kuna ukweli ndani yake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] utawagegeda mnoNgoja nibaki na kifua changu kama ubao wa kamari.
Ila niongoze juhudi katika kutafuta mapene
Hakuna namna[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] utawagegeda mno
Hahaha Kila LA kheri.Ni kweli mkuu hata mimi sasa hivi niko hapa Gym na Pasha kidogo kabla sijapiga Squats
Acha wao wajenge mwili we mkuu jenga kusudi za kusaka hela ili uje uwagegedee wake, wapenzi, mademu zaoHakuna namna
Mazoezi muhimu ila sio Yale yakutaka sifa mbele za watu kisa mwanamke anataka sixpacks.Acha wao wajenge mwili we mkuu jenga kusudi za kusaka hela ili uje uwagegedee wake, wapenzi, mademu zao
Maana wanaume wa hivyo huwaga ni tako tano tu mara wareno hawa hapa
Japo wanapiga mazoezi
Karib the Name kupasha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha Kila LA kheri.