Wanawake mumesababisha Gym zifurike

Mazoezi muhimu ila sio Yale yakutaka sifa mbele za watu kisa mwanamke anataka sixpacks.

Unafanya mazoezi magumu menyu ya kudandia hahahaha

Tusake hela
Hahaha umeona Eeeee mkuu Th Name

Vipi kwema lakini mkuu
 
wasanii wengi siku hizi wanaingia gym na vijana role model wao ni wasanii mfano diamond, kiba na wengine kibao. All in all hilo jambo ni zuri wacha vijana wapige tizi.
 
[QU OTE="Bigteacher, post: 15662800, member: 204861"]Endelea kusaka kitambi na mapene watu wa six packs wakusaudie kazi[emoji23][/QUOTE]


Ngono zina shamiri....utakufa mapema
 
wakati wenzako wanaongeza hela we unaongeza kifua
utakua una matatizo kichwani au unalenga ulinzi niamini mimi
mada ipo hot,ila katika wajinga wewe ni mmoja wapo,hela za nini kama afya mbovu?
maisha kwanza pesa baadae kwani wengu wanazo ila haziwasaidii,so next time tambua kuwa "AFYA NI MTAJI".
 
Ngoja nitafute hela kwanza then baadae ntatafuta hizo six packs. Ila kwa sasa niacheni kwanza na ka mwili kangu ka ajabu
 
Kila mtu aongeze kitu chake anachopenda.......
Ila ukifanikiwa kuongeza pesa itakuwa poa zaidi......
 
Ngoja nibaki na kifua changu kama ubao wa kamari.

Ila niongoze juhudi katika kutafuta mapene
Umenikumbusha kuna clip moja jamaa mbavu nene akawa kamvutia dada pembeni yake kuna jamaa mbavu za mbwa ila anamuonyesha goto limejaa mkononi demu akasema to hell with your six packs akaenda na mwenye pesa.
 
Umenikumbusha kuna clip moja jamaa mbavu nene akawa kamvutia dada pembeni yake kuna jamaa mbavu za mbwa ila anamuonyesha goto limejaa mkononi demu akasema to hell with your six packs akaenda na mwenye pesa.
Nahisi kama nimeshawahi kuiona hiyo clip
 
Inawezekana ni maarufu sana mitandaoni hubaki nacheka nikiikumbuka sasa uliposema wacha utafute pesa picha ilaniijia.
Pesa muhimu sana. Sasa vijana tunashindana kuongeza vifua gym ili wasichana wavutiwe nasi. Bila pesa ni kazi bure
 
Pesa muhimu sana. Sasa vijana tunashindana kuongeza vifua gym ili wasichana wavutiwe nasi. Bila pesa ni kazi bure
Duh!sijui itakuwaje wakikosekana tunaambulia ubaunsa sio mbaya.Ila ni changamoto wazee watoa vitz au rav4 za ghafla waqt kijana ukiombwa Samsung galaxy unakuna kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…