WANAWAKE MUNGU ANAWAONA

WANAWAKE MUNGU ANAWAONA

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Boy :beby ivi ukiskia nimekufa utakuja kweli msiban
Girl: ntakuja km utanitumia nauli
Boy: [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Wanawake mungu anawaona mjue
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe una mama kweli au shangazi? Mzazi wako ni type ya hao unaowaongelea au? Tuache kutumia kokoro kuvua samaki vinginevyo na chatu wataingia.
 
Wewe una mama kweli au shangazi? Mzazi wako ni type ya hao unaowaongelea au? Tuache kutumia kokoro kuvua samaki vinginevyo na chatu wataingia.
Hauhitaji hasira!
 
Inabidi sababu mimi naweza kuwa mmjo wao. Kumbuka kwenye mitandao ya jamii tunainiga wote ke me na mchanganyiko hivyo tuchague maneno. You will never know labda mzazi wako anasoma hiki.
Khaaaaaahhhaa...we nawe cjui ulichokiandika....we vepeeee...hili ni jukwaa la jokes...
 
Sasa mtoto wa watu atakujaje bro [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom