Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hauhitaji hasira!Wewe una mama kweli au shangazi? Mzazi wako ni type ya hao unaowaongelea au? Tuache kutumia kokoro kuvua samaki vinginevyo na chatu wataingia.
Inabidi sababu mimi naweza kuwa mmjo wao. Kumbuka kwenye mitandao ya jamii tunainiga wote ke me na mchanganyiko hivyo tuchague maneno. You will never know labda mzazi wako anasoma hiki.Hauhitaji hasira!
peleka kuleeInabidi sababu mimi naweza kuwa mmjo wao. Kumbuka kwenye mitandao ya jamii tunainiga wote ke me na mchanganyiko hivyo tuchague maneno. You will never know labda mzazi wako anasoma hiki.
Acha ujinga ujinga wewe,hili jukwaa gani,cheka yaishe.Wewe una mama kweli au shangazi? Mzazi wako ni type ya hao unaowaongelea au? Tuache kutumia kokoro kuvua samaki vinginevyo na chatu wataingia.
Khaaaaaahhhaa...we nawe cjui ulichokiandika....we vepeeee...hili ni jukwaa la jokes...Inabidi sababu mimi naweza kuwa mmjo wao. Kumbuka kwenye mitandao ya jamii tunainiga wote ke me na mchanganyiko hivyo tuchague maneno. You will never know labda mzazi wako anasoma hiki.