Wanawake Mungu anawaona

mr.general

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
989
Reaction score
610
WANAWAKE MUNGU ANAWAONA

CHECK WANAVYOPENDA uongo kuliko ukweli inbox(FB/TSAP

MSELA; oi niaje mchuchu? ?
Demu; p
MSELA; pande zip mrembo
Demu; mbagala
MSELA; nimekutamani sana mchumba hadi mzuka umepanda ntumie basi namba zako tuyajenge? ?
Demu; kamtamani Dada ako Malaya wewe mxiuuu ....lione nakublock saivi mfyuuu
MSELA; sasa c nimeongea ukweli ulitaka nikudanganye (msg not sent)blocked

MA BRAZA MEN SOUND MAKER UONGO MTAKATIFU.
BRAZA MEN; hi Lucy mambo??
DEMU; P
BRAZA MEN; za mchana mamie??
DEMU; niko p
BRAZA MEN; Lucy mbona kama haupo sawa rafiki yangu ....umekula? ??
DEMU; no cjala
BRAZA MEN; jaman pole ntumie namba zako nikutumie hata hela ya chips Mayai mamie
DEMU; ahsante 07100000000
BRAZA MEN : nishakutumia elf4 Lucy jitahidi kula mamie usije patwa na vidonda vya tumbo
DEMU; ahsante sana my
BRAZA MEN; niko busy sana ngoja niendelee na kazi mamie ila kua makini
DEMU; poa my ....we unafanyia wapi kazi?
BRAZA MEN :nafanya kazi bank accountant my friend
DEMU; sawa my baadae
(Braza men anaongea kimoyomoyo...we bwege ngoja uingie cha kiume ujichanganye utafurahi....)

Jioni saa 11
BRAZA MEN; Lucy vip mamie
Demu; poa ...
BRAZA MEN; ndio nimefika home kutoka job nimechoka sana ...nikasema kabla giza halijaingia nokujulie hali usikute mke wa mtu nikakuletea matatizo
DEMU; jamani my wala me cjaolewa. ..naishi kwetu
BRAZA MEN; dah mrembo kama wewe hujaolewa unangoja nini tena???
DEMU; nilie nae haeleweki muongo muongo tu hanijali...yani acha tu my
BRAZA MEN; dah pole sana mamie yani kuna watu wanapataga bahati ila wanazichezea...
Msichana mzur kama wewe ningekupata ndoa mapema tufanye maisha mamie dah hadi roho inaniuma...
DEMU; huyu nilie nae hana msimamo my acha tu....kwani wewe my hujaoa bado???
BRAZA MEN; dah nilimpata Dada mmoja tulupokua chuo mwaka wa tatu akapata libaba la B.O.T akaniacha mamie. ...ila nashukuru mungu saiv na Mimi mambo yangu yako sawa nikimpata mwanamke kama wewe naoa kabisa mamie sababu ndoto zangu zote zishatimia kasoro kua na kupata watoto Lucy
DEMU; jamani pole mwaya my.....utapata muombe Mungu tu wangu..
BRAZA MEN; dah sawa my halafu naomba ushauri wako mamie. . Nina million 10 ni nunue kiwanja cha ziada au ni nunue gari??
DEMU; jamani my nunua kiwanja gari baadae sababu kiwanja kinapanda thamani..
BRAZA MEN; dah unamawazo mazur sana mamie. ...natamani ungeakua mwanamke wangu coz kwa USHAURI wako najua tungefika mbali sana mamie. ..
DEMU; jamani wangu...usijali tuombe uzima
BRAZA MEN; sawa mamie nikutakie usiku mwema usisahau kuomba kabla hujalala na Mimi nakuombea mamie
DEMU; sawa my .....

Usiku sasa (demu anajisemea )duh mkaka anajua kubembeleza huyu kuliko JUMA halafu anafanya kazi bank. ...bora nimuache juma na kazi yake ya bodaboda niwe nahuyu mkaka jaman.

Kesho ahsubuhi.
BRAZA MEN; vip mamie umeamkaje??
DEMU; poa my vip wewe??
BRAZA MEN; niko poa mamie ndio naenda job ....ila naomba jioni kama utaweza tuonane mamie kama hutojali
DEMU; sawa my ...kazi njema
BRAZA MEN; shukran mamie nakutumia elf3 ya vitafunwa mamie byee
DEMU; sawa my wangu ahsante..

Jioni wakaonana ....
Jamaa katupia mapigo ya kiofisini na gari la kugongea. ..
Mazungumzo yakawa hivi...
BRAZA MEN; wow nashukuru kwa ujio wako mamie. .
DEMU; mmmmh (hapo aibu na tabasamu kama lote)sante pole na kazi
BRAZA MEN; mamie naomba unipe nafasi tuyajenge maisha nahitaji uwe mama wawatoto wangu kesho nikalipe mahari kwenu nikuoe. ...
Halafu babie sorry unakula MAKANGE,CHIPS KUKU AU PAPA MCHEMSHO??
DEMU; ahsante chochote tu nakula...
BRAZA MEN; basi ngoja nikuagizie makange ya kuku mamie. .
...so naomba mamie unipe nafasi hiyo Lucy mamie nakupendaga toka zamani ila nakosaga nafasi ya kukueleza kama hivi mamie.
DEMU; sawa nimekubali my ila me huwa nikipendaga napenda kweli so naomba usije umiza moyo wangu...najijua ninavyopendaga na ukinitenda ntawachukia wanaume wote nimeamua kukukabidhi moyo wangu wote plzz naomba usiuumize
BRAZA MEN; sawa mamie ahsante mkewangu kipenzi ..

Baada ya miezi mitatu mimba ishaingia. ..us
DEMU; wring wring.....wring wring ... phone calling
BRAZA MEN; acha kunisumbua ntakutafuta mwenyewe NINA MKE
 
Dah! Hapo tayari single mother kaongezeka bila mpango wowote

Alitamani pesa, sasa pesa zimekuwa pepesa.
 
Hivi muamala wa elfu nne unatoa sh ngapi? Me napiga simu voda au tigo nawaambia kuna hela imeingia kwenye simu yangu kimakosa warudishe kwa mwenyewe Na wablock miamala kama hyo ya elfu tatu au nne isije kwangu
 
Daaah Braza Men kala mzigo kilaini.

Lucy amebaki na Majuto.
 
Hahaaaa haaaa haaa"..... Kuna baadhi ya wanaume tuna roho Mbaya Sana "'.... daaaagghh
 
Kwenye uzi huu sidhani kama jinsia ya luck watafika
watafika tu na mechi itakuwa Kali subirini uone"..... upinzani wa simba na yanga.. hizi jinsia 2 zina shida sana urafiki wao always ni wa Mashaka
 
niliyenae" Haeleweki muongo muongo tu" hanijali

AISEE HUWAGA WANASEMAGA HIVYO HIVYO MKUU
 
watafika tu na mechi itakuwa Kali subirini uone"..... upinzani wa simba na yanga.. hizi jinsia 2 zina shida sana urafiki wao always ni wa Mashaka
Ni kweli washaaza kufika, nishamuona mmoja wao hapo juu. Tena kaja na mbwembwe si mchezo
 
hahaa umeona sasa
Ila wakatae wakubali hawa viumbe baadhi yao wanapenda sana kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli. Nakumbuka nilishawahi danganya demu kwamba, nitakujengea nyuma eti akakubali wakati anajua fika mimi mwenyewe nimepanga chumba na sebule.
 
Bro uwez amin umenipa technique mpya asee wataenjoy uwez amin
 
Ila wakatae wakubali hawa viumbe baadhi yao wanapenda sana kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli. Nakumbuka nilishawahi danganya demu kwamba, nitakujengea nyuma eti akakubali wakati anajua fika mimi mwenyewe nimepanga chumba na sebule.
hahaaa" Tamaa mkuu" ndio Huwa kishawishi chao Kikubwa"..... Baada Ya kiumbe fisi kwa Tamaa" basi anayefuata ni Mwanamke(dada zangu naomba mnisamehe) hahaa
 
Sasa hivi kuna choices 2 tu, either Mwanaume uwe na roho mbaya au uwe tayari kufanyiwa roho mbaya
Aisee hiyo Ngumu kumeza".... kwahiyo sisi ambao hatuwezi kuwa na roho mbaya", na hatutaki pia kufanyiwa roho mbaya", Tufanyaje Mkuu "...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…