kitaalamu kila kiumbe kina majira ya kufanya tendo hili. Kipindi ambacho kiumbe huwa kiko tayari kimaumbile kufanya tendo hili huwa jotoridi la mwili linapanda na hili huwa ni kichocheo kikubwa katika hisia. sasa kwa baadhi ya viumbe kama binadamu, kuku na wengine tendo hili mbali na kuwa la kutafuta watoto limekuwa pia la burudani hivyo wanatumia hata wakati mwili hauko tayari kwa tendo hilo na hapa ndipo hukutana na baridi. Kuweza kujua kanuni hizi fanya jaribio la kuku. mtafute kuku anayetaga muweke na jogoo alafu esabu kwa siku atafanya mara ngapi halafu chukua kuku asiyetaga muweke na jogoo alafu hesabu kwa siku atafanya mara ngapi. ukweli ni kwamba kwa kuku anayetaga jogoo kila wakati yuko mgongoni na hii hutokana na joto analolisikia linalomwongezea hisia na hawa hawavai chupi. hivyo chupi mnaisingizia tu bali mabadiliko ya miili yenu ndio yanaongeza joto au baridi