alafu kweli usemayo yaani mtu anataka kuwa na wewe lakini maswali kibao kuhusu marafiki zako. sasa wewe unatakuwa nami basi kubali kuwa hawa ni marafiki.....ila napo ukaribu ukizidi itabidi ujielize. mie nina rule moja. hamna rafi yoyote yule kumkumbatia demu wangu.
hayo mambo ya kizungu pelekeni huko huko....a platonic hug cn be the genesis of all evil

pole sana kama yamekutokea ila ni kwel sio wanawake hata wanaume pia wapo hvyo hvyo kusema ukwel inaudh mana mtu anakukuta akakukunja mashat bila sababu yoyote kisa cha kijinga tuu kisa umemsalimia mtu wake na amekuchekea
Mwanadamu let alone mwanamke hachagui kuto jiamini.... Kuna circumstances ambazo huchangia mtu kutojiamini... Kikubwa ni kwamba we can not change the past ... But we can change the future... Wazazi wahakikishe wajenge kujiamini kwa watoto wao wa kike.
Kama unataka salam zimfikie mlengwa siumwambietuu unajiumauma nini? kama anakutia kichefuchefu mtapikie yaishe......Utakuta mtu kakuona siku 2 au 3 mkisalimiana na bf wake au muwe wake bs kesho yake anakuja kukuattach et una nn na bf wangu we ni nan kwake! yan inaboa afu kisa anakuona uko competent zaid yake bs ful kujiami. jiamin mama kama ipo ipo tu, utakuwa unawaattach wangap ss dunian hapa mwishowe ni kama unajidharirisha tu. huyo m2 wako hakuish kisawan ana marafik wa primaly, o level, a level n vyuon. kwaio utakuwa m2 wa ivo had ln! kwel inaboa. jiamin mama kama ipo ipo tu. ni hayo tu.
Asha una viji'point vyenye mashiko, siku Jf wakianzisha Bunge la humu vote yangu umeilamba
Mwanadamu let alone mwanamke hachagui kuto jiamini.... Kuna circumstances ambazo huchangia mtu kutojiamini... Kikubwa ni kwamba we can not change the past ... But we can change the future... Wazazi wahakikishe wajenge kujiamini kwa watoto wao wa kike.
Siku wakianzisha bunge la masharobaro humu kura yangu umeilamba! Ooh...maaama, kwa melodysound ya kisharobaro! SOURCE: JUDGEMENT
Kuna wanawake akiwa tu hajajaaliwa hips tu haijaamini. Kuna wengine wenye mitindi mikubwa utakuta lazima wanaifunikafunika mara mtandio au khanga inapitishwa kifuani ! Yanini yote unaficha nini ? Achia tindi ! Jiamini mfano mie big tindi ndiyo oooh ! Nimefika sisuuziki na vijitindi vidogovidogo.
Sio tu wanaboa bali wakome, from no where tu unamvagaa mdada au mkaka wa watu eti kisa kakumbatiwa ama umemuona na mpenzi wako............ inahusu??? Mkataze mpenzi wako na sio kufakamia watu, unajichosha bure!!!