Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Pichani ni wazazi wakiwa wamehudhuria mahafali ya kijana wao aliyehitimu mafunzo ya jeshi. Unaweza kuona namna wazazi walivyochakaa kwa kumpigania kijana wao afikie ndoto zake pengine wameuza hata ardhi zao na mifugo, fikiria mama kavaa raba za kamba zimechakaa hatari kwa kulima.
Cha kusikitisha kijana anakuja kupata mke slay queen mweupe mwenye mzigo mkubwa anamwambia CHAGUA KATI YANGU AU WAZAZI WAKO😭😭😭
Aisee amna laana mbaya kama hiyo
Mwanaume tafakari unavyoishi na familia yako leo walezi wako unawaenzi vipi?
Chukua hatua