Wanawake muwe na huruma jamani

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Pichani ni wazazi wakiwa wamehudhuria mahafali ya kijana wao aliyehitimu mafunzo ya jeshi. Unaweza kuona namna wazazi walivyochakaa kwa kumpigania kijana wao afikie ndoto zake pengine wameuza hata ardhi zao na mifugo, fikiria mama kavaa raba za kamba zimechakaa hatari kwa kulima.

Cha kusikitisha kijana anakuja kupata mke slay queen mweupe mwenye mzigo mkubwa anamwambia CHAGUA KATI YANGU AU WAZAZI WAKO😭😭😭

Aisee amna laana mbaya kama hiyo

Mwanaume tafakari unavyoishi na familia yako leo walezi wako unawaenzi vipi?

Chukua hatua
 
Mbona Muhusika zwa tukio Amechoka pia??
 
Ila kwa kijsna wa sasa hv, somewhat watoto wako vzr, wajengee Marshall lakini usitegemee msaada wa kiuchumi kutoka kwao,
Mi vijana wangu wakishakuwa na maisha Yao, kunisaidia iwe by the way tu, wakae na pisi Kali zao, walee watoto wao, nipate wajukuu, my best version ever.
 
Wanawake tumeingiaje hapo tena 😅
 
Very sad indeed, , , , tatizo inakuwaga nyege aseeeh
 
Huyo kijana ni mwanajeshi wa wapi? kwa komando jide au konde gang
 
Kuwatunza wazazi siyo matangazo ya kifo! Timiza wajibu wako kimyakimya upate baraka za wazazi na heri duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…