Wanawake mwalimu wenu ni nani?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Hawa Madem wana misimamo yao ambayo sijui
wamefundishwa na Ngariba wa Loliondo au
lah...Inapokuja suala la Bed Business,UTACHOKA!
Kungfu si Kungfu...Taekwondo Si Taekwondo...Sar
akasi si Sarakasi,ilimradi kero....Hataki umguse
hiki...ukimgusa kile hataki,ye anataka kipondo alale tu chali kama mende....Mapenzi ni sanaa...Mapenzi ni
Sayansi...Mapenzi ni maelewano ya wewe na
yeye,anapenda nini,unapenda nini,maadam haombi
kubadili Channel kutoka TBC1 kwenda ITV...
Sasa utaambiwa Mate ni Uchafu....Ukimshika nanihii ili
umuandae awe vizuri (na hii ni recommended kiafya kuepuka Unnecessary Friction wakati wa tendo),
HATAKI,eti sijazoea kushikwa huko,,,Sasa ushikwe
Pua au sikio ???
Hataki kunyonywa(japo raha ni ya kwake)...Hataki
kunyonya(BJ) eti ni uzungu na uchafu....Sasa ndugu
zangu,haya ni Mapenzi au wazimu???Yaani nikurupuke tu,bila Maandalizi,bila kujua nakurukia
kama nadandia Bajaj salasala ...kweli???
Ni Shidaaa sanaaa....
 
mbona unatusema sana....na bado tutawakera sana ...ila kwa mwanaume ninayempenda nitashuhulika mpka basi..sio kwa mpita njia kama sihangaiki..
 
Uongo zambi wanawake wanaboa knoma unakutananae kwa bed ukitaka upige deki eti anasema unamchungulia utadhani mlienda kufanya mapenzi ya kinguonguo. mwingine akilala kifo cha mende utadhani mende kafa kweli yaani hatingishi hata mguu hawa wanawake wa dar wazuri barabarani ila kitandani wanatia kinyaa.
 
usiendekeze uzinzi, unayo yafanya yanamchukiza Mungu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…