Wanaume kamwe hawatongozi wanawake wenye status kubwa kuliko wao. Ndiyo maana huku kitaa wadada wakali sana huwa hawaolewi, ni kwasababu wanaogopwa na kila mwanaume.
Lkn hawa wenye sura kama wako msibani ndiyo hutongozwa na kila mwanaume. Kwasababu kila mwanaume anamuona mwanamke wa namna hii kuwa anammudu.
N.B. Anayekuheshimu haji kukutongoza moja kwa moja, bali hutuma mtu.