sio kweli, afu punguza uoga.Wanaume kamwe hawatongozi wanawake wenye status kubwa kuliko wao. Ndiyo maana huku kitaa wadada wakali sana huwa hawaolewi, ni kwasabb wanaogopa na kila mwanaume.
Lkn hawa wenye sura kama wako msibani ndiyo hutongozwa na kila mwanaume. Kwasabb kila mwanaume anamuona mwanamke wa namna hii kuwa anammudu.
N.B. Anayekuheshimu haji kukutongoza moja kwa moja, bali hutuma mtu.
Sio kweliWanaume kamwe hawatongozi wanawake wenye status kubwa kuliko wao. Ndiyo maana huku kitaa wadada wakali sana huwa hawaolewi, ni kwasabb wanaogopa na kila mwanaume.
Lkn hawa wenye sura kama wako msibani ndiyo hutongozwa na kila mwanaume. Kwasabb kila mwanaume anamuona mwanamke wa namna hii kuwa anammudu.
N.B. Anayekuheshimu haji kukutongoza moja kwa moja, bali hutuma mtu.
Haya mambo ya kuleta mama sijui dada kwenye mijadala inakuwaje kashasema mwanamke so tayari kajumuisha mama dada shangazi na Kila ndugu yake mwenye mbususuDah kwahiyo baba yako hakumuheshimu mama yako?
Kijana umesema uko wapi?Wanaume kamwe hawatongozi wanawake wenye status kubwa kuliko wao. Ndiyo maana huku kitaa wadada wakali sana huwa hawaolewi, ni kwasabb wanaogopa na kila mwanaume.
Lkn hawa wenye sura kama wako msibani ndiyo hutongozwa na kila mwanaume. Kwasabb kila mwanaume anamuona mwanamke wa namna hii kuwa anammudu.
N.B. Anayekuheshimu haji kukutongoza moja kwa moja, bali hutuma mtu.
Wanaume kamwe hawatongozi wanawake wenye status kubwa kuliko wao. Ndiyo maana huku kitaa wadada wakali sana huwa hawaolewi, ni kwasabb wanaogopa na kila mwanaume.
Lkn hawa wenye sura kama wako msibani ndiyo hutongozwa na kila mwanaume. Kwasabb kila mwanaume anamuona mwanamke wa namna hii kuwa anammudu.
N.B. Anayekuheshimu haji kukutongoza moja kwa moja, bali hutuma mtu.
Hakika.Kama uchumi haupo vizuri huwezi kua na jeuri mbele ya mtoto mzuri
Naomba bukuTafuta helaa kijana