Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Sema mna mipango kabambe! Hakika mtafika mbaliUnapunguza bajeti ya kwenda Kileleni mwezi December πππ
Mpaji Mungu
Tunataka tufike mpaka kileleni ile 31 December π€£π€£π€£Sema mna mipango kabambe! Hakika mtafika mbali
Mbona wengi tu wanaolewa.Wanawake wazuri wameletwa kwa ajili ya kiburudisho tu......hawafai kuolewa..
"πΆOyaaa ngoja ninywe kidogo nikilewa ndo nakua mtamuπΆπΆ" kua makini mkongwe mabinti wa buku2 hao hawachelewi kusema hivoTunataka tufike mpakq kileleni ile 31 December π€£π€£π€£
Mzee mwenzangu nipo jijini, hebu nichane vizuri sijaelewa hiyo kauli ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ"πΆOyaaa ngoja ninywe kidogo nikilewa ndo nakua mtamuπΆπΆ" kua makini mkongwe mabinti wa buku2 hao hawachelewi kusema hivo
. Ndoa zao huwa hazidumu... Mwanamke akiwa mzuri sana hugeuza sura yake kama fimbo ya kupachapia mme wake....Mbona wengi tu wanaolewa.
Mkipanga miadi ya hvo mrembo lazima apige kinywajiMzee mwenzangu nipo jijini, hebu nichane vizuri sijaelewa hiyo kauli ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Si ulsema ntajitegemea weweUnapunguza bajeti ya kwenda Kileleni mwezi December πππ
Mpaji Mungu
Lichawi hili"πΆOyaaa ngoja ninywe kidogo nikilewa ndo nakua mtamuπΆπΆ" kua makini mkongwe mabinti wa buku2 hao hawachelewi kusema hivo
Nitasimamia shoo yoteSi ulsema ntajitegemea wewe
Onhoo ailaviyu kedekedeπ€£Nitasimamia shoo yote
Nitasimamia shoo yoteSi ulsema ntajitegemea wewe
Kusema anakunywa πΊ au π· π€π€Mkipanga miadi ya hvo mrembo lazima apige kinywaji
Mzee mwenzangu Mpaji Mungu unaona napendwa hadharani ??? Ninataka uwe bodigadi sasa uilinde hii mali πππOnhoo ailaviyu kedekedeπ€£
humu tuπΊ