Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ukigombana na mwanamke
Ooh! Mwanaume hata umpe nini hatosheki.
Ooh! Mwanaume hata umpe nini atakucheat tu.
Hiyo nini ni nini? Hiyo nini inakaa wapi? Na kwa nini ni hiyo nini isiwe kitu kingine?
[emoji849]
Dah...anataka kujua nini ndiyo nini [emoji2960]Ni mimi tu ndio sijaelewa au kuna kilaza mwenzangu
Na kwa nini iwe kitu kinginena sio nini
Hata umfanyie nini ataenda tu
Ni mimi tu ndio sijaelewa au kuna kilaza mwenzangu
Haya
Nini ni mambo anayoyafanya in the name of true love.
Nina yaweza kuwa good sex, heshima na vingine.
Na kwa nini iwe kitu kinginena sio nini
Si ndio na mie nimemshangaa....aiache tu iwe nini
Kwanini iwe kitu kingine wakati tayari imeshakuwa nini