Wanawake “mwanaume hata umpe nini atakuacha tu”

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Yani ukigombana na mwanamke

Ooh! Mwanaume hata umpe nini hatosheki.

Ooh! Mwanaume hata umpe nini atakucheat tu.

Hiyo nini ni nini? Hiyo nini inakaa wapi? Na kwa nini ni hiyo nini isiwe kitu kingine?
 
Yani ukigombana na mwanamke
Ooh! Mwanaume hata umpe nini hatosheki.
Ooh! Mwanaume hata umpe nini atakucheat tu.
Hiyo nini ni nini? Hiyo nini inakaa wapi? Na kwa nini ni hiyo nini isiwe kitu kingine?

Anaachwa kwasabab siyo tulizo la moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…