Hiyo ☝Nini ni mambo anayoyafanya in the name of true love.
Nina yaweza kuwa good sex, heshima na vingine.
Hiyo nini ni nini
Hiyo ☝
Ni mimi tu ndio sijaelewa au kuna kilaza mwenzangu
Nime cheka ki fal*** by the way nimependa avatar yako.Mwanaume ni kama paka.hata ukimpa maziwa na samaki Massa 24..I swear bado utamkuta anakimbiza panya!!
Cheka unenepeNime cheka ki fal*** by the way nimependa avatar yako.