*NDANI YA BASI, LAGOS, NIGERIA*
*JOHN:* Hello mrembo, una mwonekano wa kuvutia sana , jina lako nani?
*JANE:* Lola.
*JOHN:* Ningelipenda kukufahamu vizuri zaidi. Je unatumia WhatsApp, Twitter, Instagram, Skype?
*JANE:* Hapana.
*JOHN:* Sasa nitawezaje kuwasiliana nawe ?
*JANE:* Waweza kuwasiliana nami kwa Moneygram, Western Union, ATM, Wire and Bank transfers.
*JOHN:* Oh samahani! Simu yangu haina uwezo wa kutumia App za namna hiyo. [emoji2956][emoji7]
Sent using
Jamii Forums mobile app