Wanawake na hofu ya kusaidiwa na nyumba ndogo

chochote unachoona kiko kny uwezo wako kifanye!!!.........................usitafute kisingizio cha kuwa lazy ili uvunje nyumba yako.............ukimwi unaua,sijui niko too westernized ila bado sijamfulia na kunyooshea mtu mzima nguo

Nilidhani maisha ni kusaidiana, mume anafanya hili na mke anafanya lile ofcourse kama mama yupo busy na mwanaume hana kazi ya kufanya hakuna neno kama atafua nguo au kuingia jikoni...., kwahiyo nadhani kusaidiana kazi ni kuonyesha upendo na kushare responsibilities sio kwamba unaogopa mtu atakukimbia after all inabidi ufanye all the best you can na sio kumpa mtu excuse..., akikuacha isiwe because of you bali mapepe yake mwenyewe...., after all there is nothing better kama kutumia kitu kilichotengenezwa kwa mapenzi na Mrs....., somethimes small things matter a lot
 

soma michango ya wakaka na baadhi ya wadada humu utajua haiko kotekote....maisha ni mke kumtumikia bwana tu....mnh,karibu sana VOR where have you been...tumemiss michango yako......
 

Pole mpenzi wangu sikuwa nimeiona hii post pauline. Well kutokumpatia sababu ya kwenda nyumba ndogo pauline sikumaanisha kuwa unakuwa mwoga wa nyumba ndogo la hasha hapo nilimaanisha epuka kumpatia kisingizio cha kujustify nyumba ndogo yake. ..... sijasema kuwa hana au hatakuwa nayo. Cha msingi ni kuwa aitafute kwa matakwa yake na mapenzi yake lakini si kwa kukosa amani nyumbani kwangu mie kama mkewe, si kwa kukosa heshima/heshimiwa, si kwa kukosa huduma yoyote anayostahili kupewa na mimi kama mkewe............juzi tulipewa somo la gubu, radhau na jeuri na jinsi vinavyohatarisha ndoa zetu.

utakapoanza kujiuliza maswali kama yako, ya why mimi tu nimfanyie hivi, why mimi, why,why and why inakubidi ukae chini na kuanza kujichunguza kama upendo wako kwake bado imara kama ule uliokuwa nao wakati wa ubf au uchumba. Sikatai kuwa yeye hapaswi kukusaidia la hasa naye yu apaswa tena sana but afanye kwa mapenzi yake si kwa kushrtishwa mpenzi wangu.......... akifanya kwa kushrtishwa (eti kwa kuwa wewe umefanya jana na juzi) haina ladha ya mapenzi. Mie akinipikia chakula kwa kuwa ni zamu yake wala sitashtuka but itokee narudi nakuta anakaangiza.......... ntasisimkwa mpaka unywele!
 
siweki neno hapa kama vile tunadanganyana
 
Binafsi nimejifunza kitu kutoka ktk hii thread, nitajitahidi kufanya kila niwezalo kwa ajili ya shemeji yenu (my gf)!
 
Kwani boxers na shati au fulana tofauti yake nini? Labda kama unaivaa siku nne na chini kunatoa jasho or something...ila ni nguo tu,na kama kila saa kumi na mbili unaibadilisha sioni uchafu wowote....labda kuna watu huwa usafi chini ni noma.
Halafu maambukizo gani?...detergents zinaua vijidudu vyote hata vya kikwapa,
Baada ya hapo,dryer inamalizia.......unanikumbusha mshikaji alikuja kutembelea huku akawa anafua boxers akioga,halafu anaanika bathroom
That was just creepy.
 
soma michango ya wakaka na baadhi ya wadada humu utajua haiko kotekote....maisha ni mke kumtumikia bwana tu....mnh,karibu sana VOR where have you been...tumemiss michango yako......
Thanks a lot Pauline nilikuwa nina committments kidogo nikajipiga BAN...

Hao makaka ambao wanadhani wake zao wapo kuwatumikia wanaishi katika old stone age...., tena nadhani siku hizi unakuta kazi nyingi anafanya mfanyakazi.., sio kwamba ni vibaya bali ni kutokana kwamba wote wapo busy basi inabidi wapate msaada...., lakini nadhani unakubaliana na mimi kwamba hakuna jambo zuri kama hata mpenzi wako akikupa mkate au chakula hata kama kimeungua ni kuonyesha upendo na kusaidiana....., kwahiyo awe mwanaume au mwanamke nadhani kufanyiana vitu kunazidisha mshikamano baina yenu kuliko kila mtu kumind issue zake..., na wale wanaokimbilia nyumba ndogo kwa kusingizia hiki au kile wanatafuta sababu tu.
 
Uporoto,
Akakufanyia hayo yote halfu ukamuacha...mhhhh!!!

Mzima lakini wewe? Nakutakia weekend njema!
Si unajua tena smily 2(Pauline-smily 1)mambo ya first love ni kama driving school kila mmoja akishafuzu anatafuta mwingine.Nawe pia nakutakia weekend njema.

bora wewe Uporoto ulikuwa unajishughulisha kidogo,wenzio hata hawajishughulishi wanaona ni haki wao kufanyiwa tu ila wasifanye lolote....
Mi pia ni mpishi mzuri ntawaalika smily wote wawili for lunch one of these days.
 
mhh.... ndoa ngumu saaaana wajameni!!
 

He is a lucky man to have you as his wife. Congratulations! for being a good house wife.
 
I THINK HOFU HII INATOKANA NA LACK OF SELF-CONFIDENCE IN MARRIED WOMEN...they dnt blv in themselves dat they are able 2 cntrol their huzbs...they dnt learn new ways of meking their huzbs happy,coz they ctl dnt realyz da main reason of their huzbs to hav nyumba ndg,ukiachana na mambo ya kumpkia,kumfulia,kumpa zawad nk. kitu ambacho most huzbs lyk ni pale their wives wanapoweka a romantic environment wen they (huzbs) are back at home,hawatafti nyumba ndg ili wafuliwe nguo bali kupata yale mambo ya zero distance...

also there's s'thing called COURTESY,da dictionary defynz it as 'gracious politeness...a considerate act or remark'...Ralph Emerson penetrated 2 da very heart of da word wen he wrote,"LOVE IS THE BASIS OF COURTESY"...ONE MARRIAGE COUNSELLOR said dat a lack of courtesy on da part of HUZB OR WYF is da basic cauz of 80% of da estrangements,quarrels n separation in married lyf...Courtesy shuld b da rule btn wapendanao,it shuld b manifested thru kindnec,even wen misteks are made,it will soften n help 2 solve misunderstandings,it will guard da ton of voic n RECOGNYZ THE WORTH OF THE ONE U LOVE....HICHI NDO KICWA CHA MALAVDAV...
 
pamoja na mambo mengine yanayopelekea nyumba ndogo,ikiwemo tamaa zetu tu wanaume and alike,mitazamo kama hii kwa wadada ndio inapelekea ongezeko la nyumba ndogo.kwanini tu usiwe MWANAMKE?kujaribu kupingana na asili kama matokeo ya westernization na mazao ya makongamano kama lile la beijing,sterio-types tu za mtaani na kujaribu kuishi maisha ya kwenye tamthilia,hasa kwa dada zetu,yataendelea kuathiri sana ndoa na jamii zetu waafrika.yalianza huko kwa wazungu na sasa yanakuja kwa kasi kwenye jamii yetu!hebu tuwe waafrika kwa mambo yasiyotudhuru,tuna tamaduni na mila za kwetu jamani.elimu,kazi,kipato,historia ya familia,exposure etc. havikufanyi usiwe mwanamke au mwanaume!!
 
: hata kupika nitajitahidi kumshirikisha na yeye alternative days...lol
ukisaga nyanya yeye anakata vitunguu. Lol.Tatizo wanaume wa siku hizi wanaoa kisa wamechoka kujipikia, kujifulia.. Mara wamechoka kujifungulia mageti wakirudi, wengine wameachiwa watoto hvyo wanaoa ili wapate mlezi wa watoto wao. Hapo mwanamke lazima uwe uchakarishwe hata kama hupendi.
 
Kwa nini kupenda kuiga kila kitu kutoka kwa weupe? Africa tuna utaratibu wetu, tuuenzi huone madume ya kizungu yatakavyowapenda zaidi waafrika. Mambo ya nyumba ndogo ni tabia tu ya mtu. Myself sijawahi kuwa na nyumba ndogo labda ku ..... ebu kidogo
 
Pauline

Of all your threads zako nimesoma this is so useful to me
Thank you…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…