Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Nakumbuka wakati Niko chuo tulikua tumepanga hostel ilikua ni nyumba ya mtu binafsi..sasa tulikua tunakaa na wanafunzi wa shule Fulani ya jeshi...kati ya wale mabinti kamoja kalikua kana huo mchezo yani yeye ndie alikua anaplay kama mwanamke na alikua na mabwana(wasichana wenzie) wawili wote shule moja...ila kuna mmoja kati ya hao nahisi ndie alidata sana kwa kabinti maana maranyingi alikua anakuja pale hostel na akija anafungasha hasa kama kidume....nakumbuka kale kabinti chumba walichokua wanakaa mate wenzake walikua hawana tabia ya kushinda hostel .. Kwa hiyo Mara kibao alikua anabaki peke ake...huyo bwana ake akija wanajifungia ndani...mwanzo ilikua ngumu kumuelewa ila baadae tukamzoea kumuona yule bwana ake pale hostel
Kuna siku aliwagonganisha ulikua balaa..yule mwingine anaekujaga Mara nyingi alikua wakishua mayai mayai hajui hata kuongea mpole..ile siku ilikua balaa kwakweli
Kuna siku aliwagonganisha ulikua balaa..yule mwingine anaekujaga Mara nyingi alikua wakishua mayai mayai hajui hata kuongea mpole..ile siku ilikua balaa kwakweli