Wanawake na kasumba ya kusingizia mimba

Wanawake na kasumba ya kusingizia mimba

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Wanawake kama MTU usipokuwa makini utajikuta unasingiziwa mimba za kutosha kwa mwaka mimba 6 hadi 10,ngoja ni share story fupi ya mshkaji mmoja hivi!
Aliambiwa na mwanamke mmoja hivi ana mimba yake sasa kwa vile jamaa alikuwa ana shauku sana ya kupata mtoto akakubali na kuhudumia mimba hadi mtoto akazaliwa!
Mtoto alipofikisha miaka mitano siku mtoto anaumwa na alipopelekwa hospital ikahitajika aongezewe damu sasa ikabidi baba achukuliwe vipimo ili achukuliwe damu Mara paap! Ikaonekana damu yake haiendani kabisa na mtoto ndio mziki ulipoanzia hapo!

Mimi binafsi nimeshasingiziwa mimba zaidi ya Mara tatu na wanawake tofauti na zote nimeruka mitego!
Huwa natumia mbinu tatu!
1:mwanamke akiniambia ana mimba yangu kwanza sionyeshi kustuka!lakini sikubali wala sikatai kwa sababu unaweza ukakataa kumbe ni kweli kiumbe wako,ama pia unaweza kukubali kumbe umeingia cha kike ama pia mwanamke anaweza akakwambia ana mimba kwa kukutania ili aone uta react vipi!

2:Huwa naweka sana kumbukumbu siku napo sex na mwanamke kavu kavu na nitafanya na yeye kitu Fulani ili aikumbuke vizuri hiyo siku kwani akisema ana mimba yangu basi nitaanzia kupiga hesabu siku niliposex kwa Mara ya kwanza na siku ya mwisho kusex nae ili nikimpeleka kufanya vipimo nijue mimba iliingia siku gani ili nilinganishe na zile siku zangu nilizoweka kumbukumbu
3😛iga ua garagaza mtoto akizaliwa lazima nipime DNA
 
Na bahati mbaya kupima DNA kwenye nchi yetu si rahisi kama unavyodhani.
 
Namaanisha sipaniki! Maana ya kusema sikubali wala sikatai ni kwamba wakati nipo kwenye research yangu kwa muda huo nitaendelea kuhudumia mimba hewa kama kawaida
Mbinu na 1 hujaelezea vzur. Comeup again
 
Pesa pesa pesa. Ukiwa nayo. Mbona kupima ni fasta. Kuna binafsi nina access na hiyo service so ni suala la dk tu. Wala sicheleweshi
Na bahati mbaya kupima DNA kwenye nchi yetu si rahisi kama unavyodhani.
 
Nimelea mtu tangu december yaani kumpangia nyumba na package zote then kajifungua june halafu wanakomaa eti mwanangu, sijui labda mimba siku hizi ni miezi sita.
 
Nimelea mtu tangu december yaani kumpangia nyumba na package zote then kajifungua june halafu wanakomaa eti mwanangu, sijui labda mimba siku hizi ni miezi sita.
Hahaaa,kweli maendeleo hayana chama,Mzee na wewe umekubali kiroho safi?
 
Back
Top Bottom