kweli mamushka.
Kila shetani na mbuyu wake.
Mamushka nimekumiss balaa
Kuchomekea kumo.off topic.....l.o.l
Why discouraging CPU jamani? let him do his best.....am doing my best too......
we've come from afar, through it all we are coming into accepting the facts.....l.o.l
michelle do not comment on this!....l.o.lz
i have seen this so long time ago, i believe this . . . :roll:
Nice post very analytical naweza kuongezea kidogo tu, wasichana wengi wanababaika na magari wanapewa magari lakini card original wanashikilia wanaume zao. Napenda kuwaasa kina dada muwe makini na kuangalia vitu muhimu ambavyo vitakusaidia maishani. Hata kama ikitkea bahati mbaya mkaachana basi hutakuwa kwenye nafasi ya kupoteza. Hivi mkiachana akikuachia gari utaihudumiaje? service na mafuta! Je pesa za kukununulia gari angekusomeshea hutabaki na eli yako? kama huna nafasi ya kusoma je ungetumia hizo pesa kutafuta kiwanja au gofu hautakuja kusaidiwa na hicho kiwanja au gofu? FIKIRINI na MTAFAKARI
I am just being honest Michelle....have been there.....you wanna know "ow far he can go"?
I wanna know how far he can go......!!!
Ni utani Mamushka...chomekea as much as you can
Eeeh basi hao hawajapewa magari wameazimwa. Ila kuna wengine anapewa gari na card orgn, anajengewa nyumba na hati kwa jina lake, pia anasomeshwa huyo nae unamuasa vipi?
C'mon CPU....here we go...but "think CPU think" as you cannot re-invent the wheel hahahahahaa
Michelle, Madam, naomba unifikishie salamu zangu za upendo kwa Mamushka...mwambie nimemmiss, tangu alivoniacha pale stendi ya dala dala za Mbagala kizuiani, sijweza kumfuta huku kichwani kwangu.
Asante.
michelle, madam, naomba unifikishie salamu zangu za upendo kwa mamushka...mwambie nimemmiss, tangu alivoniacha pale stendi ya dala dala za mbagala kizuiani, sijweza kumfuta huku kichwani kwangu.
Asante.
mmhhh vipi tena ukaachwa?kwenye kituo cha daladala ina maana huna gari binafsi???mmmmhhh we endelea kum-miss tu,usimfute muache akupe uchungu wa kutafuta hela.........pole zako.....ntamuambia anyway!!!:laugh::laugh: