Wanawake na kupenda wanaume wenye hela...

typically women....
believe me its every womans dream to marry bill gates...

Bill Gates is a cool guy.....not every rich man behaves like him and ofcoz there are lots of benefits marrying Bill Gates......he is not cheap as many rich guys in TZ who think money should be spent on women as much as possible....
 

Kwa kweli mimi sijawahi kutana na mwanamke akataka nimsaidie hivyo, badala yake nimekutana na wanawake wengi ambao mara nyingi nikiwauliza
"NI KITU GANI NIKIKUFANYIA AMBAPO KWELI NDANI YA MOYO WAKO HAUTANISAHAU . . ?"

Sadly most of them name property like cars, houses and money:sad:
 

Kwahiyo dada yangu nakuasa usije kubabaikia magari maana ikitokea bahati mbaya likipata ajali huna kitu! na vitu kama magari vina depreciate elimu na nyumba/kiwanja vina appreciate. So yule mtani wangu wa jadi
akitemwa kule kwenye kinyang'anyiro chetu akitaka kurudisha majeshi mwekee masharti kuwa unataka kuongeza elimu umsikie atasemaje...............
 
Na ukitaka kumsaidia kielimu mwanamke utakuta unaambiwa " . . . . wewe kweli mshamba wa kutongoza wanawake, kwani ukimpa demu kalamu na karatasi vitamsaidia nini??? Peleka kule kwa yatima, mi nataka mipango ya maisha tu sio habari za udenti-denti "

Mi NIKIPATA MWANAMKE WA KUNIOMBA NIMSAIDIE KIELIMU NAENDA KUVUNJA BENKI SASA HIVI . . . LOL:coffee:
 
Bill Gates is a cool guy.....not every rich man behaves like him and ofcoz there are lots of benefits marrying Bill Gates......he is not cheap as many rich guys in TZ who think money should be spent on women as much as possible....

michelle...bill gates was just my accomplice..
lots of women wangependa kuwa wake wa ndama mutoto ya ng'ombe...l.o.l
wengine wako tayari hata kuwa abused,kuletewa wanawake wengine....as long as she is in the line of cash and free rides....
 
]Bill Gates is a cool guy[/B].....not every rich man behaves like him and ofcoz there are lots of benefits marrying Bill Gates......he is not cheap as many rich guys in TZ who think money should be spent on women as much as possible....

Here is what a woman needs from a man
 

Sawa kaka yangu.....tatizo huyo jamaa kuna kitu kaniloga,yaani nikijitahidi ku-move on from the abuse,disrespect zote nilizopewa bado nashindwa,najitahidi sana kaka........na hilo ndilo sharti,nipelekwe shule ujinga unitoke na mimi.......:laugh::laugh:
 
Here is what a woman needs from a man

believe me CPU i love the thread...lakini nachelea kuiswallow jinsi ilivyo........what michelle stood for mara nyingi happens in movies
lakini in real life women needs to feel secure around man...na moja kati ya one way security siku hizi ni wealthy...
kwahiyo lots of women dreams siku hizi ni kuwa na jamaa mwenye mikwanja...l.o.l
 


Wewe sifa za watu wa nje wazihitaji za nini???zungumza na yule unayempenda,muelimishe then msaidie,ukitafuta go ahead kwa watu wa nje hutaipata,kwa kuwa hata mwanamke wako akipata haji kuwa wa manufaa kwao bali kwako na familia yako.....:coffee:
 
michelle...bill gates was just my accomplice..
lots of women wangependa kuwa wake wa ndama mutoto ya ng'ombe...l.o.l
wengine wako tayari hata kuwa abused,kuletewa wanawake wengine....as long as she is in the line of cash and free rides....

Ohhhh, you are right wapo wasichana wanakubaliana na lolote ili kubaki na wenye hela kwenye majumba ya kifahari na sifa za kijinga za waume zao.....ila kwa Bill Gates hakuna hayo......l.o.l
 
Ohhhh, you are right wapo wasichana wanakubaliana na lolote ili kubaki na wenye hela kwenye majumba ya kifahari na sifa za kijinga za waume zao.....ila kwa Bill Gates hakuna hayo......l.o.l

tricky, but i aint falling for that....
 
:laugh:
Hashy,we mkwanja huna??huo huo,mbona wasio na mkwanja wanaoa jamani??mi kijijini kwetu na hata mjini vijana wengi wameoa....ishu na nyie mnatakaga kuwa na wale ambao ni matawi and they will prefer a rich guy......kama huwezi afford,why not look for someone who will love you for who you are......wapo wengi tu.:laugh:
 

Mr Cool
b'coz of women dependence on men
Most women WORRIES about their future UNTIL THEY GOT A MAN or married
and bcoz of men responsibilities to lead the family
Most men NEVER WORRIES about the future UNTIL they got a woman or married
:coffee:
 

dah! haya bana...ngoja tukatafutane tusio na mikwanja....
 
Wewe sifa za watu wa nje wazihitaji za nini??? zungumza na yule unayempenda, muelimishe then msaidie, ukitafuta go ahead kwa watu wa nje hutaipata, kwa kuwa hata mwanamke wako akipata haji kuwa wa manufaa kwao bali kwako na familia yako.....:coffee:

Ooops! :twitch:
Why do you go far like this?? Did I said I have married??? Did I said "am interested with outside pipo"??? Who is my woman then???
Michelle I think you have to know and confirm my status before saying those words above:coffee:
 
Then what do you think......all women fall for money and status???:coffee:

not always Madam....LOL

Mine didn't fall for money and status...am just a 'small small' person.....japo ndo Mwenyekiti.....khaaa
 

kazi kweli kweli..........:A S 20::A S 20:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…